House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1, 5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI UPO BAJAJ
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
____________________________________
SIFA YA NYUMBA
Hii nyumba inajitegemea yenyewe kwenye fennsi
Ipo peke yake
Yaani mtu mmoja aishi yeye na family yake
Ina vyumba 4 vya kulala vyote master bedroom
AC vyumba vyote
Sebule kubwa sana na dinning room kubwa kote AC
______________________________________
KODI Ni MSELELEKO
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi ni laki tano tuu
(500,000)
X 6
Kwa huduma yahalaka PIGA SIMU USITUME MESSAGE UTA CHELEWA KUJIBIWA
CALL 0779646072
Masele kimara raisi wa madalali kimara