House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE INAPANGISHWA 280K X 6
โผ๏ธITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/05/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NA KUFANYA MALIPO
๐กNYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 280,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 80 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
#KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ก NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI
โผ๏ธPIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA USAFIRI NI BAJAJI HADI KWENYE NYUMBA
๐กNYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258