House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


*#APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA UMBALI DK 15 KWA MGUU
PIKIPIKI 1000 MPK GETINI
------
Sebule
Chumba Master
Public toilet Nje
Jiko Kubwa la Nje
Slide window
Maji yana flow
Luku Yake
Fensi kubwa na Peving Block
Parking space kubwa sana
-------
Bei ni 200,000×6 (kuhusu miezi njoo site)
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347