House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
BEI NI 180,000K X 6๐
ILIPWE LAKI 180,000 MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII
IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU BODABODA 1000๐
APARTMENT HII IPO MTAA MZURI SANA NA JIRANI NA BARABARA
SERVICE CHARGE NI TSZ 150,00
SIMU
0712656027