Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
BEI NI 180,000K X 6👈
ILIPWE LAKI 180,000 MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII
IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU BODABODA 1000👈
APARTMENT HII IPO MTAA MZURI SANA NA JIRANI NA BARABARA
SERVICE CHARGE NI TSZ 150,00
SIMU
0712656027