House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HII NYUMBA IMERUDI SOKONI MTEJA ALIELIPIA AMEPATA ZARULA IVYO INAPANGISHWA TENA
---------------
APARTMENT NZURI YA FAMILIA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE WA DK 10 MWENDO WA MIGUU AU UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO.
-------------
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO NYUMBA MBILI ZENYE APARTMENT TATU NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI
------
SIFA ZAKE =
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
PUBLIC TOILET MBILI
STORE
JIKO LENYE MAKABATI
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
REZEV SIMTANK
FULL PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA
---------
KODI NI LAKI 500,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
--------------
CONTACT FOR
NO=0766825473
WSP=0788410350