House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X6)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA INAPANGISHWA
____________________
LOCATION: KIMARA MWISHO 2.2KM FROM MOROGORO ROAD, USAFIRI WA NOAH 500 UPO MASAA 24,
___________________
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KUNA CHOO CHENYE MILANGO MIWILI PUBLIC\/MASTER
JIKO LENYE MAKABATI
SEBULE KUBWA
MAJI YANAFLOW NDANI
METRE YA MAJI YAKWAKO
IPO KWENYE UZIO
PARKING SPACE YAKUTOSHA
LUKU YAKO
UKISHUKA NOAH DAKIKA MOJA UPO KWAKO
ZIPO APARTMENTS MBILI KWENYE UZIO
NB:ITAKUWA WAZI TAR 30/06/2024 KUONA NA KULIPIA RUKSA
_____________________
MALIPO:(250,000 X 6) + HELA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI, KODI ILIPWE MIEZI SITA NA HELA YA DALALI YA MWEZI
______________________
KUONYESHWA NYUMBA ELF 15
__________________________________________________
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
__________________________________________________
KWA HUDUMA YA HARAKA PIGA SIMU