House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #300k
===
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
NB: Inakuwa wazi tar 01/04 kuona ndani luksa kama Mpangaji atakuwepo
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
Mshati