House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT_FOR_RENTAT_KIMARA_TEMBONI AU UNAWEZA PITIA STOP OVER KM1.5
Chumba Master
Sebule na choo cha Public
Jiko nzuri (OPEN KITCHEN
Umeme Luku yako
Maji yanaflow ndani
KODI NI TZS 180,000 MALIPO MIEZIX3X4X5X6π
Nyumba ipo Kimara Temboni Umbali wa Kilometa 1.8 Kutoka Morogoro road bajaji/ 700 bodaboda /1000
Pia unaweza pitia stop over boda 1000
KM1.5
Service charge ni TZS 15,000/=
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 π
What saapp number β¬
οΈ 0689-547258