Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT_FOR_RENTAT_KIMARA_TEMBONI AU UNAWEZA PITIA STOP OVER KM1.5
Chumba Master
Sebule na choo cha Public
Jiko nzuri (OPEN KITCHEN
Umeme Luku yako
Maji yanaflow ndani
KODI NI TZS 180,000 MALIPO MIEZIX3X4X5X6👈
Nyumba ipo Kimara Temboni Umbali wa Kilometa 1.8 Kutoka Morogoro road bajaji/ 700 bodaboda /1000
Pia unaweza pitia stop over boda 1000
KM1.5
Service charge ni TZS 15,000/=
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258