House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA IMESHUKA BEI SASA KODI NI 200K
LOCATION: KIMARA SUKA
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA
INA TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMEME MATUMIZI YAKO
MAJI YANAFLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
KODI NI 200,000X6
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCKS
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
_____