House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


โโ
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA SUKA
Umbali wa Dakika 12 Kwa Mguu Kutoka Main Road
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule KUBWA
โข Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja Master
โข Jiko Kubwa la Kisasa
โข Choo Kizuri Ndani Cha Familia
Apartment zipo 2 Ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 350,000/- Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 15000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja