House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI ZA KISASA SAFI KABISA
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET IPO NJE
#ZIPO APARTMENT 5 KWENYE FENSI MOJA
# GARI LINAFIKA HADI NDANI
BEI NI 200,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA MARAMBA KUTOKA MBEZI HADI KWENYE NYUMBA USAFIRI BAJAJI 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027