House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA#100,000/=
MALIPO MIEZI 6
--------------------------------
📌Mahali:MBEZI LUGURUNI (Dsm) 🇹🇿
Umbali:1.5Km Pikipiki elf 1 Tu
__________________________
MUUNDO
✔️Chumba Master Kubwa
✔️Chumba KiKubwa
✔️Choo Cha Public Nje
✔️ Jiko
✔️Mazingira Mazuri Sana
✔️Eneo la ndani Kubwa Sana
_______________________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo Ndani)#MITA YAKO
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌 Ndani Ya Fensi &Parking IPO KUBWA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 100,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000
__________________________
CONTACT US:-
0716223412
0683597453