Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA#100,000/=
MALIPO MIEZI 6
--------------------------------
๐Mahali:MBEZI LUGURUNI (Dsm) ๐น๐ฟ
Umbali:1.5Km Pikipiki elf 1 Tu
__________________________
MUUNDO
โ๏ธChumba Master Kubwa
โ๏ธChumba KiKubwa
โ๏ธChoo Cha Public Nje
โ๏ธ Jiko
โ๏ธMazingira Mazuri Sana
โ๏ธEneo la ndani Kubwa Sana
_______________________________________
HUDUMA
โ๏ธMaji (yapo Ndani)#MITA YAKO
โ๏ธUmeme _LUKU YAKO
๐ Ndani Ya Fensi &Parking IPO KUBWA
โโโโโโโโโโโโโโโ
KODI; 100,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000
__________________________
CONTACT US:-
0716223412
0683597453