House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA HIYO INAPANGISHWA VYUMBA VYA KULALA 3 .
KIMOJA MASTER NA INA PABLICK SEBULE PAMOJA NA JIKO IKO NDANI YA FENSI STEND ALONE NYUMBA KALI SANA .
BEI LAKI TATU NA NUSU 350000. KUANZIA MIEZI 4, 5 HADI 6 .NYUMBA IPO SEHEM NZURI BARABARA HATA GARI YA CHINI INAPITA .
NYUMBA IPO MBEZI MAKABE MSAKUZI ILA HAUFIKA MSAKUZI MWISHO IPO KATIKATI USAFIRI DALADALA KUTOKA MBEZI HADI HAPO NAULI 700. NA BAJAJI 1000 UKISHUKA DAKIKA 2 USHAFIKA KWENYE NYUMBA .
SIMU
0712656027