House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU BEBA PESA USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA
CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI
===
UMEME UNAJITEGEMEA MAJI DAWASKO YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
USICHOKIJUWA KUNA LISEVU TANK
Bei:200,000 Kwa mwezi X3
===
Umbali km 2.5 Usafiri bajaji zipo 700 Pik pik 1000
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
CHAPU KABLA UJAWAHIWA
===
0713320608
0686334182