House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA#600,000/=
MALIPO MIEZI 6 (STAND ALONE)
--------------------------------
📌Mahali:MBEZI KIBANDA CHA MKAA(Dsm) 🇹🇿
Umbali:DAKIKA 4 KWA MIGUU TU
__________________________
MUUNDO
✔️VYumba 04 - 01 Master
✔️Sebule Kubwa +Dinning room
✔️Choo Cha Public Ndani +Nje
✔️ Jiko Kubwa Lenye Makabati
✔️Full ac
✔️Servant coter yenye Chumba na sebule kwa nje
_______________________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo Ndani)#MITA YAKO
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌 Ndani Ya Fensi &Parking IPO KUBWA IKO PEKE YAKE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 600,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000
__________________________
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI