House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOMS ZINAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH ( 100,000 KWA MWEZI × 3,4,5,6
Chumba na Choo ndani ( Master Bedroom)
Maji yanaflow chooni
Nyumba mpyaaaaaaa
Garden safi KABSA
Ukiwa nje LAZIMA UPIGE selfie kdg upost
Kama Hoteli WAHI jirani na lami kabsa
Njia MKEKA MPKA ndani upewe nini
Kodi 100,000 Kwa mwezi × 3,4,5,6
Umbali dakika 5 Kwa mguu toka kituoni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena.
0710614924
0688653940