House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NIMEZISHUSHA BEI KWA SASA KODI
350,000/=X6
KWA HII BEI MIEZI HAIPUNGUI
KWA 400K NI MIEZI 3
___________________________
APATIMENTI KALI SANA MPYAA MPYA ZA KIFAMILIA
ZINAPANGISHWA ZIPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA
______
UMBALI KUTOKA STENDI
NI KM 1,5
PKPK 1000/
SIFA ZA NYUMBA
____________
ZIPO NNE KWENYE FENSI
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA JIKO NA CHOO CHA PABLIC
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
_____________
KODI 350,000/= X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 350,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
_______________
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa
____