House for rent at Msigani, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE TEGETA MSIGANI
-------
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 600,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
------------
Contact
๐#0676__218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach ๐น๐ฟ