House for Rent at Msingi, Singida

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C -MTAA MZURI KABISA NA TULIVU.
________________________________
TAZAMA MBAKA MWISHO KUONA.

(Vyumba 04-masta moja,seble,jiko,dining,public toilet!.

KIWANJA-800sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

House for sale at Msingi, Singida

Sh. 39,000,000

KIWANJA 600SQM KINAUZWA_______MAHALI-ILAZO WEST_______UKUBWA-600SQM______DOCUMENT-HATI SAFI_______KI...

2 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 8,000,000

*PAGALE LINAUZWA UDOM NGONGONHA*SIFA👉 Master bedroom 1👉 single bedroom 2👉sebule👉jiko👉dining👉Tw...

2 Bedrooms House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 20,000

Kiwanja Kinauzwa Malamba Mawili. - Kina msingi wa chumba kimoja na sebule - Mtaa umejengeja- Huduma ...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 26,000,000

NYAMUHONGOLO MWANZAPLOT FOR SALEKIWANJA KINA MSINGI WA NYUMBA KUBWASHIMO LA CHOOMITA 150 TOKA KWENYE...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 26,000,000

NYAMUHONGOLO MWANZAPLOT FOR SALEKIWANJA KINA MSINGI WA NYUMBA KUBWASHIMO LA CHOOMITA 150 TOKA KWENYE...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 30,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm (FUNGUA MWAKA KIBABE OFA)__________________________MAHA...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 30,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm (FUNGA MWAKA KIBABE OFA)__________________________MAHAL...

3 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 30,000,000

Nyumba Hii INAUZWA apa KGAMBONI kibugumo vyumba vitatu kimoja masta jiko,sitting&dining kiwanja sqme...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 14,000,000

KIWANJA KIZURI CHENYE MSINGI KINAUZWA (MILLION 14) MBEZI MWISHO MSAKUZI KWA NIABA YA BANK Mawasilian...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 80,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI KINAUZWA...........#SPECIFICATION Plot Size Square mita 2478SQM, Which...

House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C -MTAA MZURI KABISA NA TULIVU.________________________________TAZAMA MBAKA MWIS...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 75,000,000

RESIDENTIAL HOUSE DESIGN 🏠 🦺🦺SPECIFICATIONS/ REQUIREMENTS 1) 3 masterbedroom with closet 2) Loung...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 50,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI MZURI WA RAMANI YA NYUMBA YA KISASAKINAUZWA KINYEREZI/CHEKA NAOUKUBWA WA KIWAN...

3 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 23,500,000

KIWANJA CHENYE MSINGI MZURI WA NYUMBA YA 3 BEDROOMS KINAUZWA KINYEREZI/NYIWA SCHOOLS BEI 23.5ML MAZ...

4 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 80,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI KINAUZWA.......#SPECIFICATION * Plot Size Square mita 1400SQM, which is...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 100,000,000

RESIDENTIAL HOUSE DESIGN 🏠🏠🏠SPECIFICATIONS/REQUIREMENTS GROUND FLOOR1) Two masterbedroom with clo...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 30,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KINAUZWA............#SPECIFICATION Plot Size Square mita 1000SQM, Which is 50*...

House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 350,000

HAKUNA MALIPO YA UDALALIFURNISHED APPARTMENT INAPANGISHWAKWA WANAOTAKA RAMANI ZA NYUMBA,HII INAPATIK...

House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 350,000

HAKUNA MALIPO YA UDALALIFURNISHED APPARTMENT INAPANGISHWAKWA WANAOTAKA RAMANI ZA NYUMBA,HII INAPATIK...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 190,000,000

Je Unahitaji eneo la kujenga Shule ya Msingi hapa Dodoma?Hili litakufaa sana.✔Eneo lipo Nala barabar...