Nyumba inapangishwa Msingi, Singida

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C -MTAA MZURI KABISA NA TULIVU.
________________________________
TAZAMA MBAKA MWISHO KUONA.

(Vyumba 04-masta moja,seble,jiko,dining,public toilet!.

KIWANJA-800sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msingi, Singida

Sh. 25,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI KINAUZWA...................#SPECIFICATIONS * Plot Size Square mita 600...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msingi, Singida

Sh. 25,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI KINAUZWA...................#SPECIFICATIONS * Plot Size Square mita 600...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msingi, Singida

Sh. 25,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI KINAUZWA...................#SPECIFICATIONS * Plot Size Square mita 600...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msingi, Singida

Sh. 13,000,000

PLOTS KARI SANA CONA INA MSINGI WA NYUMBA VYUMBA VITATU IPO MBEZI MSAKUZI KARIBU NA KANISA LA KKKT ...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 50,000

KIWANJA CHENYE MSINGI, SQM.500, KINAUZWA NA BANK,TSHS.13 MILIONI, MBEZI-MSAKUZI.Hapa ni jirani na KK...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 185,780,000

RESIDENTIAL HOUSE DESIGN 🏠🏠🦺SPECIFICATIONS/ REQUIREMENTS GROUND FLOOR 1) Two masterbedroom with c...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 8,000,000

*NAUZA ENEO LA KUJENGA HOSTEL NA FREM HIZI MBILI*📍udom ngongonha 📍ukubwa;220sqm📍umeme upo📍ziko b...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 18,000,000

Eneo lenye banda la vyiumba 2 na msingi linauzwa kimara mwisho upande wa kushoto Kama unaelekea mbez...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 100,000

SHULE YA MSINGI, MADARASA 10, TSHS.350 MILIONI, IKWIRIRI- RUFIJI.Kiwanja kina ukubwa wa Ekari 3.5.Sh...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 5,500,000

Kiwanja kinauzwa bei ya offerBei 5.5mLocation veta near shule ya msingi ilomba0742941423

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Msingi, Singida

Sh. 400,000

APARTMENT FOR RENT #Location.Mongolandege Shule Ya Msingi #Zero Distance To Main Road #Nyumba Inatiz...

Viwanja vinauzwa Msingi, Singida
  • Project

Sh. 35,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm __________________________MAHALI-IHUMWA (MTAA MZURI UME...

Viwanja vinauzwa Msingi, Singida
  • Project

Sh. 35,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm __________________________MAHALI-IHUMWA (MTAA MZURI UME...

Viwanja vinauzwa Msingi, Singida
  • Project

Sh. 35,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm __________________________MAHALI-IHUMWA (MTAA MZURI UME...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Msingi, Singida

Sh. 32,000,000

NYANGOMANGO MWANZA NYUMBA MBILI ZINAUZWABEI MIL 32NYUMBA KUBWA VYUMBA VITATU VYA KULALA SELF 1 SEBUR...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 160,840,000

RESIDENTIAL HOUSE DESIGN 🏠🏠🏠SPECIFICATIONS GROUND FLOOR 1) One masterbedroom2) Dining room3) Loun...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msingi, Singida

Sh. 50,000

NYUMBA NA MSINGI WA VYUMBA 10, INAUZA BANK, TSHS.45 MILIONI, SALASALA KILIMAHEWA.Eneo ni KILIMAHWE J...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 320,000,000

Gofu na plot 4 sale...Location Mbez beach upande wa chini.......Distance dk6 to main road..Near by E...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 320,000,000

Gofu na plot 4 sale...Location Mbez beach upande wa chini.......Distance dk6 to main road..Near by E...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 320,000,000

Gofu na plot 4 sale...Location Mbez beach upande wa chini.......Distance dk6 to main road..Near by E...