House for rent at Mwenge, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa MWENGE DAR ES SALAAM
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA NI
MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Garden
Parking yakutosha
Kodi 800,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr. Riverside