House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


(250,000X3)UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
##OFA OFA OFA NIMEISHUSHA MIEZI TU NJOO NA 250X3 TU
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 250X4
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI MITATU (3)
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA UNAWEZATENGA NA DAINING JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI MNOO
UMBALI KM 2 KUTOKA MENROAD UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 KUPITIA UBUNGO KIBANGU UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 3 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0716223412
0683597453