House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
๐ฐ Inapangishwa UBUNGO KIBO MSEWE
๐ Nyumba Inagusa Lami, Hukanyagi Tope
๐ Kodi ni Tsh 300,000/= *6
===
_______
โข Jiko
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Master
* Inajitegemea umeme
* Maji yanaflow chooni na jikon
* Ndani ya fence
* Parking
#Mtu Anahama jioni, iwahi huwa haikai sana
________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 300,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
โ:- 0753172516