Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🔰 Inapangishwa UBUNGO KIBO MSEWE 
📍 Nyumba Inagusa Lami, Hukanyagi Tope
📍 Kodi ni Tsh 300,000/= *6
===
_______
• Jiko
• Sebule Kubwa
• Chumba Master
* Inajitegemea umeme 
* Maji yanaflow chooni na jikon 
* Ndani ya fence 
* Parking 
#Mtu Anahama jioni, iwahi huwa haikai sana
________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 300,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
№:- 0753172516




















