House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Ubungo Kibo
🕑Dakika 5-6 Kutembea Kutoka Mwendokasi barabara nzuri Mpaka hapo
#SIFAZAKE
🔹Chumba kimoja Master
🔹Sebule
🔹Umeme Sub-Meter Yake, Maji yanflow ndani
🔹Fenced Car Parking
🔹Panamlinzi Kabisaa
👉Moja hapa 2nd Floor Ikowazi
🔶Kodi Tsh 180, 000/=×3(Miezi Mitatu)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 180, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
📌Pesa ya Taadhari Tsh 50,000/=(Unarudishiwa Ukiwa Unahama)
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊