House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
#NYUMBA NZURI YA KISASA SEHEMU ILIYO TULIA WAHI
LOCATION:#KIMARA_KOROGWE_KILUNGULE UNAWEZA KUPITIA UBUNGO RIVERSIDE HADI #UBUNGO_MAKOKA KLM 1
#BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO PIKPK 1000
SIFA ZAKE
==========
#CHUMBA_MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#UMEME WAKE(MITER YAKO)
#MAJI MITER YAKO
#FENSI YA WAYA
#SEHEMU MAALUMU YA KUPARK GARI
#BEI NI 250,000 ILIPWE MIEZI 4,5,6
#SERVICE_CHARGER_15000
ANGALIZO:MPANGAJI ANATOKA TAREHE 25.12.2024 AU KABLA YA TAREE IYO
CONTACT
0742260844