House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE
Nyumba inakuwa wazi trh 15/4/2024 kuona na kulipia ruksa
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
FULL TILLES & GYPSUM
IKO KWENYE FENCI ILA HAILAZI GALI
Kodi 150,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.