House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X4,5,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA KAMA CHUMBA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
NB: NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA