House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







KODI NI 140,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA #BAADA YA IYO MIEZI SITA KUISHA UTAANZA KULIPIA MIEZI 3
.
.
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
.
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
.
CHOO NJE CHA KUSHEA 2 TU NA KINA MAJI NDAN
.
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA PERVING BLOCK SAFI
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI FEN JUU PANGA BOY CHUMBAN NA SEBULENI
.
.
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOONI
.
.
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
.
.
IPO WAZI KABISA NI YA KUJA KUONA NA KULIPIA TU
.
.
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347