House for sale at Kibaha, Pwani
MKOA WA PWANI KIBAHA KWA MATHIASI MSANGANI
NYUMBA INAUZWA NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC VYUMBA VYOTE MASTER
HII SI YA KUKOSA NYUMBA INAENEO KUBWAA
HII IPO MAENEO YA JESHINI MSANGANI
UKUBWA WA ENEO SQM 2000
BEI NI YA KUTUPA MIL 25 MAZUNGUMZO YAPO
NYUMBA INA MAJI NA UMEME VIPO HAPO TAYALI
MWENYEWE ANAISHI HAPO
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 6 TU
BODA ELFU 2000 BAJAJ 1000
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
KARIBU SANA MTEJA #068491594 #0716974073