House for sale at Kibaha, Pwani
Nyumba ya wapangaji inauzwa
Ipo Kibaha miembe 7
PIGA SIMU 0755831740
Chumba na seble zipo 4
Vyoo nje
Gypsum tayari
Eneo lina sqm 800(20×40)
Mbele limebaki unajenga nyumba kubwa
Lina minazi minne
Bei million 18
0784376888