House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri mpya ya kumalizia finishing inauzwa bei milioni 35 maongezi yapo shida aina mwenyewe ndugu mteja
Location Kimara baruti dakika 10-12 kutembea nyumba ipo mjini hyo
Ukubwa wa eneo square mita 350
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
Wai nyumba ipo karbu na mjini usiikosee hii ndugu mteja
##0655256419
##0760830706