House for sale at Kivule, Dar Es Salaam






Nyumba inauzwa kivule makonde wilaya ya ilala dar
👉Bei milion 45 maongezi yapo👈
Vyumba vipo V5 kimoja masta
Tailz jipsam
Maji umeme
NYARAKA YA SERIKAL YA MTAA
Eneo sqm 350 makadilio
Full perving
GARI MOJA HAD MJINI
Whatsap au piga