House for sale at Majohe, Dar Es Salaam







ENEO NI KUBWA MNOO
Nyumba inauzwa majohe kwa warioba Wwikyaa ya ilala dar
👉BEI MILION 59 (MAONGEZ YAPO)
Vyumba jumla v4 kimoja masta
(CHA NNE KIPO NJE NA JIKO)
Tailz jipsam umeme
Maji yapo (kuna kisima)
Fensi yote
Eneo sqm 960 (makadilio)
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Unatembea tu had stend
Whatsap au piga
0746 433 854