House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
NYUMBA NI YA VYUMBA V4 MASTER 2
SEBULE KUBWAA JIKO DAINING STOO
NJE IPO BOYCOTER YENYE VYUMBA V4 MASTER ZOTE
HAPO KUNA SEHEMU YA KUKAA WAGENI KWENYE KIBANDA CHA MAKUTI
NDANI JUU UKIPANDISHA NGAZIn KUNA MABANDA YA KUFUGIA KUKU
HII NYUMBA UNAWEZA KUINGILIA TEMBONI
NYUMBA IPO KM 3 KUTOKA MORO ROAD
NYUMBA INAUKUBWA WA ENEO SQM 1500
SQM 500 KATI YA HIZO ZIPO WAZI WAWEZA KUJENGA ARPATIMENT KATI UKAFUNGA UKATOBOA MLANGO WAO WAPANGAJI
BEI MIL 130
TITTLE DEED MKONONI
KARIBU SANA MTEJA NJOO MAZUNGUMZO YAPO
KARIBU SANA MTEJA
#0710614924
#0688653940