House for sale at Salama, Mara


📍 Ipo mita 100 tu kutoka barabara ya lami…
📏 Eneo lote ni sqm 600…
✅ Limepimwa…
✅ Lina mkataba wa mauziano…
✅ Lina leseni ya makazi…
Nyumba ya ghorofa ipo kwenye hatua ya umaliziaji (70% imekamilika)…
Ina vyumba vya kulala…
Sebule kubwa…
Dining…
Jiko…
Na store…
💰 Bei: TZS 175,000,000 (Fixed – haiteremshwi)
🌳 Ipo mtaa mzuri sana, salama na tulivu…
0746 433 854