Nyumba inauzwa Salama, Mara

 media -1
media -1
Sh. 30,000

🏡 ENEO KUBWA LENYE NYUMBA ZA KISASA LINAPATIKANA KIMARA KOROGWE – LINAUZWA SASA!
Ukubwa wa Kiwanja: 12,140.57 sqm (Hekari 3)
Fursa ya kipekee ya kumiliki eneo kubwa lenye nyumba na apartments za kisasa katika Kimara Korogwe – Kilingule, eneo linalotajwa kwa utulivu, usalama, na ukuaji wa kasi.

🌍 MAELEZO YA ENEO
✔ Lipo Kimara Korogwe – Kilingule
✔ Umbali: Takribani 1.5 km kutoka Kituo cha Mwendo Kasi (BRT Stand)
✔ Barabara inafikika kirahisi muda wote
✔ Miundombinu ipo – maji, umeme, mtandao
✔ Mazingira salama, tulivu na yanayofaa makazi au uwekezaji

🏘️ NYUMBA NA APARTMENTS ZILIZOPO
✔ Nyumba kadhaa zimekamilika na tayari zina wapangaji
✔ Apartments zingine zimebakisha finishing ndogo ndogo (rangi, fittings n.k.)
✔ Ujenzi wa msingi, paa, kuta, umeme & maji umekamilika
✔ Sebule kubwa, vyumba vya kisasa, tiles, vyoo vya kiwango cha juu

💼 FAIDA KWA MNUNUZI
✔ Uwekezaji tayari unatoa kipato (wapangaji wapo)
✔ Fursa ya kukamilisha finishing kwa ladha yako
✔ Eneo kubwa linaloruhusu upanuzi au miradi mikubwa
✔ Thamani ya ardhi na majengo inaongezeka kila mwaka

🚗 GHARAMA YA KWENDA KUONA ENEO
🔹 Tsh 30,000 kwa site visit (kuona eneo, nyumba na apartments zilizopo)

📞 Wasiliana / Piga: 0740 747 383
➡ Chukua hatua sasa – fursa kama hii ya Kimara Korogwe haiji mara mbili!

Dalali roony _ ubungo _ mbezi
dalali_roony_ubungo_mbezi
Dalali roony _ ubungo _ mbezi

Similar items by location

Nyumba inauzwa Salama, Mara

Sh. 600,000,000

🏡 ENEO KUBWA LENYE NYUMBA ZA KISASA LINAPATIKANA KIMARA KOROGWE – LINAUZWA SASA!Ukubwa wa Kiwanja: ...

Nyumba inauzwa Salama, Mara

Sh. 30,000

🏡 ENEO KUBWA LENYE NYUMBA ZA KISASA LINAPATIKANA KIMARA KOROGWE – LINAUZWA SASA!Ukubwa wa Kiwanja: ...

Nyumba inauzwa Salama, Mara

Sh. 30,000

🏡 ENEO KUBWA LENYE NYUMBA ZA KISASA LINAPATIKANA KIMARA KOROGWE – LINAUZWA SASA!Ukubwa wa Kiwanja: ...

Nyumba inauzwa Salama, Mara

Sh. 30,000

🏡 ENEO KUBWA LENYE NYUMBA ZA KISASA LINAPATIKANA KIMARA KOROGWE – LINAUZWA SASA!Ukubwa wa Kiwanja: ...

Viwanja vinauzwa Salama, Mara
  • Project

Sh. 25,000

🌿 Chagua Kiwanja Chako, Chagua Kesho Yako! 🌿Hakuna uamuzi mzuri kama kuchagua sehemu utakayojenga ...

Viwanja vinauzwa Salama, Mara
  • Project

Sh. 25,000

🌟 OFAAA! OFAAA! OFAAA! 🌟Huu ndio wakati wako wa kufanya maamuzi yenye faida kwa maisha yako!Tumeku...

Viwanja vinauzwa Salama, Mara
  • Project

Sh. 25,000

OFA OFA OFA ...✨Huu ndio mwezi wa kufanya maamuzi yatakayobadilisha kesho yako. Fursa hazigongi hod...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Salama, Mara

Sh. 300,000

NAPANGISHA NYUMBA — APARTMENTS MPYA! 🏠✨Zipo kwenye hatua za mwisho za ukamilishaji — WAHI sasa kabl...

Frame inapangishwa Salama, Mara

Sh. 300,000

🇹🇿FREMU INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE (BARABARANI KABISA)📍Fremu nzuri na ya kisasa inapangishwa e...

Frame inapangishwa Salama, Mara

Sh. 300,000

#0742260844 £0657384670🇹🇿FREMU INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE (BARABARANI KABISA)📍Fremu nzuri na y...

Frame inapangishwa Salama, Mara

Sh. 300,000

🇹🇿FREMU INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE (BARABARANI KABISA)📍Fremu nzuri na ya kisasa inapangishwa e...

Kiwanja kinauzwa Salama, Mara

Sh. 7,200,000

Una budget ya million 5 na unataka kumiliki beach plot….𝗞𝗜𝗚𝗔𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜 𝗕𝗨𝗬𝗨𝗡𝗜 𝗚𝗥𝗘𝗘𝗡 �...

Frame inapangishwa Salama, Mara

Sh. 300,000

🇹🇿FREMU INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE (BARABARANI KABISA)📍Fremu nzuri na ya kisasa inapangishwa e...

Frame inapangishwa Salama, Mara

Sh. 300,000

🇹🇿FREMU INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE (BARABARANI KABISA)📍Fremu nzuri na ya kisasa inapangishwa e...

Nyumba/Apartment inapangishwa Salama, Mara

Sh. 150,000

🏘️ APARTMENTS 2 ZINAUZWA – KINYEREZI MWISHO (ENEO LA HEWA SAFI & SALAMA)SQM 500💰 BEI: Tsh MILIONI ...

Viwanja vinauzwa Salama, Mara
  • Project

Sh. 25,000

🏡 Anza Leo Safari Yako ya Umiliki wa Ardhi!Kila siku mpya ni nafasi nyingine ya kufanya uamuzi utak...

Viwanja vinauzwa Salama, Mara
  • Project

Sh. 25,000

🏡 NJOO UWE SEHEMU YA MABADILIKO!✨Huu ndio wakati wako wa kuchukua hatua ya kuanza safari ya uwekeza...

Viwanja vinauzwa Salama, Mara
  • Project

Sh. 25,000

🏡 Hello Monday!Wiki mpya, fursa mpya — nafasi ya kujenga ndoto zako juu ya ardhi salama na halali.U...

Viwanja vinauzwa Salama, Mara
  • Project

Sh. 26,000

🌿 BIG SALE ! 🌿✨Uwekezaji kwenye ardhi umekuwa rahisi zaidi! Tumepunguza bei kutoka TSHS 26,000 had...

Viwanja vinauzwa Salama, Mara
  • Project

Sh. 23,000

🏡 HABARI NJEMA KWA WAPENDA ARDHI! 🎉✨Tunayo furaha kubwa kukutangazia kwamba BEI IMESHUSHWA kwenye ...