House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUMALIZIA INAUZWA – TABATA SANANE (Fursa Adimu!)
Bei: Tshs Milioni 18 (Bei ya mwisho – inayoweza kujadiliwa kidogo kwa mnunuzi serious)
Maelezo ya Nyumba:
- Eneo: Tabata Sanane (gari linafika hadi mlangoni)
- Ukubwa wa kiwanja: 300 SQM
- Nyumba ni ya kumalizia (ukuta na paa viko tayari, inabaki kamilisha ndani)
- Muundo safi wa kisasa, inafaa sana kwa uwekezaji (kukodisha au kuuza baada ya kumalizia) au makazi binafsi
- Eneo lenye maendeleo ya haraka, karibu na barabara kuu, shule, maduka na huduma zote
Nyumba hii iko katika eneo linalokua kwa kasi sana Tabata, bei hii ya Milioni 18 ni fursa ya dhati kwa mtu yeyote anayetafuta mali yenye thamani inayopanda haraka.
Piga simu sasa kwa maelezo zaidi au kutembelea:
0688 412 890
(Muhitaji moja kwa moja)
Fursa kama hizi hazidumu!
Bei hii haitabaki kwa muda mrefu. Karibu sana! 🏡✨



















