House for sale at Vigwaza, Pwani


NYUMBA INAUZWA KWA NIABA YA BANK
NYUMBA IPO MKOA WA PWANI VIGWAZA
NYUMBA INA VYUMBA v3 SEBULE JIKO DAINING CHUMBA MASTER
ENEO SQM 400
BEI MIL 9
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
NYUMBA IPO UMBALI WA MITER 700 KUTOKA MORO ROAD
NYUMBA IPO VIGWAZA SHULE YA MSINGI
KARIBUNI SANA WATEJA