House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA MWISHO KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS 700 BODA 1000 KUELEKEA MBEZI MWISHO
.
KODI NI 250,000 ×6KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZAKE
========
CHUMBA KIKUBWA CHOO NI PUBLC
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA LENYE SANA
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
GARDEN NZURI
MAZINGIRA TULIVU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT 0656623510
WSP 0752436347