House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANAA MPYAA INAPANGISHWA KIMARA SUKA
CHUMBA CHA KULALA MASTER
SEBULE
JIKO LA KISASA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
BEI 150,000 ILIPWE MIEZIX6
NDANI YA FENCE PARKING IPO
WENYE MAGARI YA CHINI SANA CHANGAMOTO
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUONI BAJAJI 500
KUONA NYUMBA ELFU 10 ⬅️
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI