House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X4) #KIMARA_TEMBONI DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000\/= X 4
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
# INAYOPANGISWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA
BEI NI 250,000\/= X 4
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NA UNAFIKA KWENYE NYUMBA VIZURI SANA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
#0710614924
#0688653940