House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


LOCATION: KIMARA KOROGWE KM 1.5 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA INAPANGISHWA
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
LENYE MAKABATI
CHOO NDANI PUBLIC
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO DAWASA
YANAFLOW NDANI
FEN ZINAFUNGWA LEO
MAZINGIRA TULIVU
USAFIRI BAJAJI 500 BODA 1000 MPKA MLANGON
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT 0656623510
WSP 0752436347