House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI