House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🏡 APARTMENT'S NZURI SANA
ZA KISASA BADO MPYAA..
ZINAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE📌📌
💥 KODI YAKE 250K X6//
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA
🏘️ SIFA ZA NYUMBA -
⚡MASTER BEDROOM KUBWA NA KABATI LAKE LA NGUO
⚡ SEBURE KUBWA
⚡ JIKO SAFI LENYE MAKABATI
⚡ TILES
⚡ GYPSUM
⚡ SLAIDING WINDOW
⚡ UMEME METER YAKE
⚡ MAJI SAFI DAWASA, METER YAKE NA YANAFLOO NDANI
🏡 NYUMBA HIZI MPYA ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH500/=
BODA TSH1000/=
❌NOTE:: NYUMBA HII FENCE INAENDELEA KUJENGWA, NA PIA USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA❌
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
🏘️🇹🇿 KARIBUNI SANA
CONTACT:: 0672 673363