House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI SANA HIZI ZA KISASA KABISA ZINAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA TEMBONI UMBALI KILOMETA 3 BODA 1500 BAJAJI 1000
VYUMBA VIWILLI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI NA JIKON
KODI 400,000/=×6
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15,000/=
PIGA CIMU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747