House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI MNOOO
.
INAKUA WAZI TAR 30/12/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NI RUKSA KABISA
.
INAPANGISHWA 200K
.
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI KM 2.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 1000 UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
.
NI APARTMENT 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA
.
SIFA
====
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE IPO
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
.
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
BILA KUSAAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
CONTACT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI